𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗔𝗱𝗺𝗶𝗻 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗹𝗼𝗹𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽
Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ?
🕯️Naam inawezekana japo sio 😁 rahisi kha...
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi...
Wasalaam,
Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake"
kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli...
Kwa mnaotumia barabara hii asubuhi, tumeona msongamano mkubwa wa magari kila siku.
Magari mengi yamehama toka kutumia barabara ya Bagamoyo na sasa watu wengi waendao makazini mjini CBD wanaitumia...
Kuna dogo mmoja tulifahamiana nae humuhumu ndani, alikua very charming na mtu wa watu sana, dogo alikua anauza account za biashara za instagram, yaani yupo yeye na wenzake wanakuza account from...
Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana.
Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni...
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha...
Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali.
Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao...
Reincarnation ni imani ambayo inaonekana kuwa ya asili na ya kawaida katika jamii zote za binadamu.
Wazo hili linaanza pale mtu anapofikia kiwango fulani cha maendeleo ya kiakili na kuweza...
Amani kwenu wakuu
Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika
Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais...
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini.
Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium.
Ambazo sijazitaja ...
Mamlaka ya Mwasiliano acheni ubabaishaji fanyeni malipo ya washiriki waliofika dodoma kwenye mkutano mkuu wa vyombo vya habari mliufanya Dodoma kitendo cha kutowalipa washiriki mpaka sasa toka...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya...
Angalia video clip
Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati...
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia...
https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake...
Habari za wakati kama huu wanajamvi!!!
Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar...
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi
Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo.
Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.