Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa...
Mkurugenzi wa kampuni ya altezza.travel, inayomilikiwa na raia wa Urusi, amekuwa akijulikana kwa mafanikio yake katika sekta ya utalii.
Kampuni hii imeshinda tuzo ya mlipakodi mkubwa na mzuri...
==========================
UPDATE: 27/06/2024
https://www.instagram.com/reel/C8tOKmmqjWh/?igsh=MWJhZWFjNTNhajNtcg
=======================
TRA Tanzania
Tanzania tuna mfumo wa kodi ambao naweza...
Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri.
NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio...
Hebu leo twende huku na kule duniani tuangalie matukio yaliyotokea miaka ya nyuma, yanayoaminika kuwa yalisababishwa na uchawi au nguvu za giza. Baadaye ntakueleza njia za kuwashinda wachawi na...
Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma...
Wenzetu kwa watoto wao hawana mfumo mzuri wa kuwasomesha dini zao.
Sio hawana tu bali mfumo wa dini yao haukubali kabisa kuwaanda watoto wao ktk mfumo wa dini.
Sasa wanaona choyo kuona waislam...
Anayekuhubiria wanyonge wana nafasi yao enzini amechukua pesa zenu kajenga apartments.
Anayepaswa kukuletea maendeleo kutokana makato amenunulia fortuner ya 2012 pesa yako.
So what about you, ni...
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku...
Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank...
Wakuu habari za January naiman wote n wazima wa afya...niende kwenye mada moja kwa moja
Tarehe 25/12/2024 saa 9 Kasoro usiku wa kuamkia Boxing Day nilikabwa kwenye bajaji
Tukio lilikuwa hivi...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu...
Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu...
Shirika la Bima la Taifa (NIC) linajivunia kumudu ushindani licha ya kuwepo na Makampuni zaidi ya thelathini kwenye soko la Bima Tanzania, imeweza kumudu ushindani kwa kufanya vizuri baada ya...
huyu hapa anafunguka facebook
""Niliharibikiwa na gari maeneo ya kutokea ikulu mda
sio mrefu,nikavamiwa na vibaka Saba Mimi pamoja
na Dereva wangu ambaye alikuwa anafungua tairi
nimepigwa...
Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.