Leo kwenye pitapita zangu nikakutana na huyu mwamba! Jina lake limenipotea ila nimepata kusikia watu wakimuita TANESCO wa Ziwa Tanganyika.
Wanadai anachezesha shoti za umeme hatari! Je ni kweli...
Habari ndugu naomba kufahamu jibu la hili swali ambalo nimekuwa ninajiuliza siku nyingi sana.
Mfano nimesimamishwa barabarani au kutembelewa gafla nyumbani na maafisa ukaguzi na wakatuhumu kwamba...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi...
WHEN BUILDING YOUR OWN HOUSE
If you buy or own a plot of land that you want to build your house but you don't have any hope of getting Money to build it as soon as you should.
Get a big snail...
Yawezekana unajuuliza kwa nini NEWFORCE ya kutokea Tunduma mara kwa mara inapata mzinga straight answer ni madereva wa IT.
Unapokuwa main road ya kuelekea Tunduma utakutana na IT kibao zinatoka...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa...
Je, Binadamu Anaweza Kuwa Mtakatifu
Utakatifu ni Nini
Utakatifu ni ile hali ya kuwa safi mbele za Mungu, kumhofu yeye na kumuogopa yeye na kujitenga mbali na dhambi. Neno “Mtakatifu” lina maana...
Mamlaka ya usafiri nchini haijui idadi kamili ya dalada kila mkoa nchini.
Pia haifahamu idadi ya mabasi ya yaendayo mikoani. Taasisi hii muhimu inapata fedha nyingi sana kutokana na fees na...
Wakuu,
Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni.
Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa...
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta.
Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika...
Wakuu,
Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita.
Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna...
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali...
Kuna jamaa nimeenda dukani kwake duka la Mpesa aniwekee sh 4100 ameniongezea sifuri moja!
Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani?
Wakuu habari zenu?
Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria...
Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, amelieleza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuwa kuelekea miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wilaya hiyo imefanikiwa kupata ofisi...
Wasalaam
Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025
Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya
Labda tuwaulize wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.