Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka...
Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso -...
2 Esdras 12:22-32,
three heads that are asleep represent three kings who will rule the world in the last days of the empire.
These kings will restore much of the empire, but rule with more...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni...
Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila...
📌NIRC, Monduli
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya...
Naandika habari hii nikiwa na kumbukumbu ya kuwakumbuka marafiki zangu dogo Chiko, Wamisujo, pamoja na Topha.
Hii ilikua 2015, leo ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu washkaji zangu hao watangulie...
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “...
MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA
BY LUGETE MUSSA...
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.
Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko...
Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka...
Katiba ya mafyatu inatoa haki na uhuru kwa kila fyatu kukutana na fyatu yeyote unayemtaka kutembea au kuandamana na unayemtaka, kwenda unakotaka, kusema unalotaka imradi usivunje sheria ya kaya...
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂
Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂
Anyway,
Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa...
Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni...
Habari wakuu
Katika pilika pilika za kutafuta ajira,nilijaribu kutuma maombi taasisi fulani ,mchakato wa maombi ulipokamilika nikapigiwa simu na hr nimekua selected hivyo niende kuonana naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.