Wakazi wa Bongi, wilayani Handeni mkoani Tanga, ambao walikumbwa na changamoto ya uhaba wa maji na kulazimika kutembea umbali wa kilomita 3 hadi 4 kutafuta huduma hiyo, sasa wanapata maji karibu...
Utakalofika wakati WA kuinuliwa wataambiana ati yule kahaba ana familia yake
Wataambiana kikaragosi ana nyumba na gari leoo hiii
Mwishooo wataambiana wema WA Mungu maishani mwako USIKATE YAMAA...
Nchi ya Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la pili la vyakula vya asili kwa ukanda wa Afrika ambalo linatarajiwa kufanyika April 23-25 , 2025 Jijini Arusha.
Akizungumza February 19...
TANZANIA, UN TOURISM ZASAINI MAKUBALIANO YA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII WA VYAKULA BARANI AFRIKA
Na Mwandishi Wetu- Madrid, Hispania
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika...
TAKUKURU YABAINI UPIGAJI WA FEDHA SINGIDA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Singida imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 75.3, baada ya kufuatiliaji utekelezaji wa...
Meneja wa kampuni ya LBL Kanda ya mbeya amekamatwa juzi tareh 18/2/2025 baada ya polisi kuvamia ofisi za kampuni hiyo na kufanya upekuzi na kubaini kufanyika biashara ya upatu.
Poleni sana Wana...
Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi...
MBEYA: JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watuhumiwa watano akiwemo Meneja wa Kampuni ya LBL Gerald Masanya ,31, kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya upatu mtandaoni bila kuwa na...
KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za...
Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli...
Kama wewe ni mzazi huu ni ushauri wako;
1. Msomeshe mwanao shule za gharama nafuu ila msimamie na tution juu, kisha Miliki mali nyingi ili umpe mtoto urithi hata kama mwanao akisoma kayumba siku...
Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF
Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa...
Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa.
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.