Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa.
Ila sasa hivi...
Wakuu, heshima zenu. Mna habari kwamba unabii huu nao tayari umetimia?
Mathayo 24:24 – "Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate...
Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia...
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha...
Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba ametoa maelekezo kwa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kuwasiliana na Wakurugenzi Halmashauri zote nchini ambazo hazijatimiza maelekezo ya...
MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, amekutana kwa zaidi ya saa tano na wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichopo Kata ya KIA, kujadili na kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo...
Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao.
Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua...
Alikuwa bondia wa ngumi za kulipwa kutoka nchini Burundi,
Bondia huyu Kanyaboya alikuja Tanzania kati ya Miaka ya 1986/1987 na Alikuwa anafikia Hoteli za mitaa ya Kariakoo,
Sifa yake kubwa huyu...
Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji...
Morogoro, 20 Februari 2025. Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo leo wameitembelea Kampuni ya Sukari Kilombero mkoani Morogoro ili kujionea maendeleo ya...
Nimegundua watu wengi wako kwenye dini walizoko kwa mashinikizo ya kijamii na sio hiyari.
Nimeona vijana wawili walipohama kutoka katika dini zao za kikristo na kuhamia ukristo mwingine wazazi...
Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika...
Serikali ya...
Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza...
Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni...
Hii hali ipo kwenye Eneo la Zahanati ya Kijiji Cha Mjughuda, kata ya Ikhanoda wilaya Singida vijijini mkoani Singida. Ambapo wahudumu wa Zahanati hiyo wanatoza hela na kuwalipisha wananchi hela...
Miaka ya hivi karibuni kumezuka biashara tofauti tofauti za mitandaoni ikiwemo cryptocurrency, forex na online platform za kuingiza fedha
Naomba kujua je kushiriki katika biashara hizi huweza...
Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.