Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba amesema kwamba wanakusudia kufanikisha kupandisha wiano wa vitabu vya kiada ili kufikia kitabu kimoja kwa mwanafunzi...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kwamba serikali imeendelea kuhakikisha huduma za upatikanaji wa dawa (ARV) za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI zinaendelea kupatikana bila...
TAARIFA YA UFUNGAJI WA CCTV CAMERA
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka wa fedha 2024/2025 ilitenga fedha kwa ajili ya ufungaji wa CCTV Camera katika barabara na maeneo ya Kariakoo...
Habari wanajamvi, niruhusu niingie moja kwa moja kwenye mada husika. Hata hivyo, nataka kuwashukuru wale wote wanaochangia katika kuleta mawazo ya maendeleo, hata kama wewe ni mfanyabiashara...
Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri.
Mhema ametoa...
Niliwahi kuweka uzi hapa mwezi uliopita nikilalamika kumtumia mwanamke nauli ya VPI GO and Return kutoka mwanza kwa makusudi akaja hadi Dar alfu akaniambia ameanza period tokea jana nikajiuliza...
Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri.
Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena...
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo...
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima...
Siku za hivi karibuni kumeibuka mabishano makali kuhusu kusomesha mtoto St Kayumba (Govt schools) au English Medium (Private school).
Upande wa St Kayumba wana hoja na hata wa Private pia wana...
Yesu alipofufuka kutoka wafu aliwatokea wanafunzi wake kabla ya kupaa kwenda mbinguni. Mmoja wa wanafunzi hao aliitwa Tomaso. Wakati anawatokea, Tomaso hakuamini maneno ya Yesu hadi...
Amani iwe kwenu wapendwa!
Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo...
Wakuu matukio ya watu kuendelea kupotea yanazidi kuendelea
Mfanyabiashara wa Spea maeneo ya Tabata Dampo Dar es salaam aitwae Boaz Nyimbo anatafutwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki baada ya kupotea...
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au...
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae...
Wakazi wa Bongi, Handeni walikua wanashida ya maji iliokua ikiwalazima wamama kutembea umbali wa kilomita 3 mpaka 4 ili kufuata maji.
Rais Samia, kama rais wa nchi na kama mama amekua mstari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.