Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inatoa haki mbalimbali kwa mhusika wa taarifa binafsi ili kuhakikisha faragha na ulinzi wa taarifa zake. Haki hizi ni pamoja na:
Kufahamishwa kuhusu...
Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa...
HOSP ITALI ya Taifa ya Muhimbili imeweka mikakati kutoa huduma bora nchini na Afrika Mashariki kwa kujenga jengo la kisasa lenye ghorofa saba litakaloanza kujengwa mwezi huu. Jengo hilo...
Yalishawahi kunikuta. Yaani hizi hospitali binafsi wakishagundua tu wewe au mtoto wako ana bima ya afya ya kueleweka, basi wanaanza kumbambikia magonjwa makubwa makubwa ya ajabu ajabu.
Kuna...
Zab 69:12 SUV
[12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki.
Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako...
Wilaya ya Bunda maafisa utumishi na TSC wanawasumbua walimu waliojiendeleza na kuwa na sifa ya kubadili miundo yao katika ajira kama kutoka daraja la IIIA au IIIB kwenda IIIC.
Mtumishi...
Dubai imekuwa maarufu kwa maendeleo yake ya haraka, biashara ya kimataifa, na vivutio vya utalii. Hata hivyo, kama ilivyo kwa miji mikubwa duniani, pia inakabiliwa na changamoto za uhalifu wa...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na...
Umama umekuwa sana kwa machawa na mifumo mibovu sana inayopelekea hata CAG au idara nyingine kuonekana zimekosa kazi.
Wasanii na chawa ndio wamekuwa watumishi wa Serikali na wawekezaji wa taifa...
Kama waafrika, tujivunie sana tamaduni na maadili yetu, mambo yanayoendelea huko duniani kwingine yanastaajabisha.
Mark Bryan ni Injinia, mume na baba wa watoto watatu. Anapenda kuvaa viatu...
Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la JamiiForums na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio...
Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God...
Rafiki wa mtaani, shuleni, chuo, n.k. mlikuwa washikaji sanaaaa kujuliana hali kila siku, muda mwingi mpo wote, kushare siri, n.k. lakini leo mmebaki kuchunguliana view stutus,
Halafu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.