Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji...
8 Reactions
91 Replies
10K Views
Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala...
5 Reactions
40 Replies
706 Views
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya...
0 Reactions
6 Replies
175 Views
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani...
71 Reactions
3K Replies
990K Views
Kwa namna hii wake zetu watakuwa wanaliwa sana. Nini kifanyike, maana imeshakuwa ni tatizo kubwa mno, mwanaume unamruhusuje mke wako akabinuke hivyo, eti mazoezi?
16 Reactions
88 Replies
10K Views
Wakuu Kuna ukweli wote hapa?
12 Reactions
33 Replies
604 Views
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Ndugu mnaobeti au kubashiri kwa njia ya mtandao ktk kampuni ya Premier kuweni makini sana, binafsi nilikuwa naweka (deposit) pesa kwa kutumia airtel money ktk akaunti yangu nikaweka pesa mara 5...
5 Reactions
13 Replies
40K Views
Habari wadau naombeni msaada au ushauri. Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Sasa ni mwezi wa 7 hatujawahi kupata maji ya Dawasa. Mateso tunayopata ni makubwa mno! Majirani zetu wote wanapata maji ila sisi hatuyapati hayo maji kabisa. Tangu kipindi hicho tunanunua maji tu...
1 Reactions
1 Replies
107 Views
Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye. Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa...
0 Reactions
5 Replies
365 Views
Huu mtandao wa kipuuzi sana hakuna huduma ya kukopa pesa kama ilivyo tigo nivushe au bustisha? Mbona mpesa, tigopesa na wengine wanakopesha pesa
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo.. YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
Dar es Salaam. Tarehe 18 Februari 2025: Ikiwa katika maadhimisho ya miaka 30 tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia...
0 Reactions
4 Replies
167 Views
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ulianzishwa kwa lengo la kunusuru kaya masikini na kusaidia wananchi wasiojiweza wakiwemo wazee. Baada ya kufikiwa na mpango huo kwa baadhi ya wananchi waliopo...
2 Reactions
6 Replies
304 Views
Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika. Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita...
5 Reactions
23 Replies
542 Views
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2. Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa...
2 Reactions
0 Replies
104 Views
Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa. Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Yani unaweza kuta mama A na mama B wana watoto wamezalia nyumbani mara mbili mfululizo ila maongezi yao kwa asilmia ni kudiscuss na kukosoa mambo ya huyo ndugu yao na familia yake. Na ole wake...
4 Reactions
5 Replies
176 Views
Back
Top Bottom