Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii...
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k.
Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia...
Wakubwa shikamooni wadogo amjambo.
KIUKWELI NINA KILA SABABU YA KUKISHUKURU HIKI CHAMA CHA KUSAIDIA WAPAGAZI (wapanda milima)
KIUKWELI CHAMA HIKI KIMEWASAIDI POTA WENGI SANA AMBAO WALIKUWA...
Wakuu Kwema!
Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi.
Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa...
Asalam,
Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii,
NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na...
Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi:
Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati
The Keeper
Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood...
Manipulation:
Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe.
Confusion...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya...
Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao...
Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima kuna shida sugu ya maji, na Mbunge ni Profesa Kitila Mkumbo lakini hamna kitu ametusaidia
Suluhisho la maji alileta mradi wa matenkI yaani matenki yanajazwa maji...
Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi.
Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya...
Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula...
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine...
Mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umebeba historia ndefu inayohitaji muda mrefu kuielezea, lakini nitajaribu kuifupisha kwa kuangazia mambo machache muhimu.
Mpelelezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.