Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Wana jukwaa, naomba ushauri. Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi...
6 Reactions
49 Replies
901 Views
Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine...
15 Reactions
111 Replies
3K Views
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni...
3 Reactions
5 Replies
258 Views
  • Redirect
Nafanya japo sio kwa 100% Nafanya photographer Nachora Nafanya Sanaa za za mabox Fundi vifaa vya electronics Software za simu na Hardware Hivi vyote nimefanya na baadhi ndo paka Sasa vinaniweka...
2 Reactions
Replies
Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati...
10 Reactions
117 Replies
2K Views
Kupanga kuchagua Kuna waliochagua watafia wakiwa makazini, wapo waliochagua wakiwa makazini wanapiga biashara kadhaa, na wale ambao hawapo kote kote. Kifupi tu, sakata la usaid liwe fundisho kwa...
17 Reactions
86 Replies
2K Views
Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya...
3 Reactions
9 Replies
585 Views
Ukienda kwenye vilinge vya waganga wa kienyeji, vibaraza vya maostaz, na makanisa ya mitume na manabii utakutana na idadi kubwa sana ya watanzania wanaenda kusafisha, kupandisha, kufufua, kufungua...
15 Reactions
31 Replies
884 Views
Wakuu Habarini... Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali. Ila Kuna Mbinu...
0 Reactions
10 Replies
244 Views
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Ikumbukwe taasisi nyingi za serikali ziko Dodoma na wengine wamelazimishwa kuhama wakiwa hawana hata majengo, sasa huyu mpigaji Nehemia Kyando Mchechu anapata wapi uhalali wa kuhamia Morocco...
2 Reactions
5 Replies
249 Views
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
5 Reactions
9 Replies
343 Views
Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na...
2 Reactions
4 Replies
414 Views
https://youtube.com/shorts/ig8C_5bwqWA?si=cPpkIvrp554X9azE https://youtube.com/shorts/9epXv0gdy9E?si=ot7P6BmlQODc3j9m https://youtube.com/shorts/vZ1t9uzGqgI?si=vW6KolEqlZaTNYhF...
0 Reactions
2 Replies
96 Views
L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila...
3 Reactions
8 Replies
156 Views
Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni...
1 Reactions
40 Replies
960 Views
1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂 2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji 3: Kwamba kuna...
3 Reactions
7 Replies
253 Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom