Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi...
1 Reactions
5 Replies
282 Views
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera. TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa...
9 Reactions
117 Replies
4K Views
Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship...
5 Reactions
21 Replies
680 Views
EPISODE 01, SEASON 01 Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni. Kuna Mzee flani huwa...
98 Reactions
4K Replies
735K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati...
3 Reactions
6 Replies
418 Views
Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala...
8 Reactions
40 Replies
889 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
"Kitendo cha Kuchanganya Kemikali mbili HATARI zilizoko katika Kinywaji cha Mo Energy na zilizoko katika Dawa ya Panadol ni Kuusababisha Moyo kwenda mbio usivyo tarajiwa na hatimaye Kuupasua na...
18 Reactions
53 Replies
7K Views
Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji...
5 Reactions
27 Replies
382 Views
Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya. Pia...
9 Reactions
117 Replies
6K Views
https://youtu.be/mLsO9uliFNA?si=uMIgYqnPpWRtOj2o Nitakuwa natoa mfululizo wa makala za Miradi mikubwa ya Maendeleo inayotekelezwa Kila Mkoa. Ninaanza na Mkoa wa Kigoma.Unaweza sema Kigoma...
7 Reactions
154 Replies
7K Views
Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000...
2 Reactions
17 Replies
386 Views
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Kadri ninavyoendelea kukua ndiyo naelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi. Muda ni kitu cha thamani sana na pia kama kijana ukishajua unachokitaka hapa dunia kujishusha ni mbinu wala...
4 Reactions
35 Replies
607 Views
Amani iwe nanyi watanzania Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika...
31 Reactions
125 Replies
4K Views
Huyu mzee Trump bana hata wazungu wenzake? Marekani kupitia uhamiaji itawarudisha makwao raia wa nchi za Nordic Denmark, Sweden, Norway na Finland wanaoishi Marekani kinyume na sheria. Rais...
2 Reactions
10 Replies
333 Views
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za...
45 Reactions
157 Replies
5K Views
Habari za wakati ndugu wana Jukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri...
2 Reactions
3 Replies
483 Views
Mimi ni mfanyabiashara wa dawa za binadamu (pharmacy) katika Wilaya ya Bagamoyo. Ningependa kuwasilisha changamoto kubwa inayowakumba wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya hiyo...
2 Reactions
2 Replies
131 Views
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Back
Top Bottom