Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya...
#HABARI Serikali kupitia TANROADS imepanga kupanua barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne na sita kwa lengo la...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya Jiji la Dodoma zenye jumla ya urefu wa kilometa 220 kwa kuzijenga kwa njia nne...
Nipo hapa moja kati ya vijiji vilivyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora kusindikiza safari ya milele ya babu yangu mkubwa Mwinamila Membe. Mzee amefariki kutokana na umri mkubwa. Alikuwa ni moja kati...
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOCHAPISHWA IKITUHUMU KAMPUNI YA ASGARD SECURITY COMPANY LIMITED KUTOLIPA WAFANYAKAZI WAKE MISHAHARA
Mnamo tarehe 17 Februari 2025, kwenye Mtandao wa Jamii Forums na...
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu...
PAMEPOA SANA.......
Hebu tujadili kidogo kwa kutumia mada ninayoileta Kwenu kwa Mfumo wa Swali.
Je umewahi kukutana na Mnyama yeyote hatari iwe wa kufugwa au wa Mbugani?
Kama jibu ni...
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa...
Kuna Dunia nyingine mpya imepatikana
Wanasayansi kutoka Nasa wamethibitisha kuwepo kwa sayari mpya aina ya HD 20794D Super Earth 🌎, iliyoko umbali sawa na miaka 20 ya miale ya mwanga katika...
Niko sawa !
Ni kauli pekee Mwanaume anaitoa huku akitabasamu.
Machozi yake yakitilirika katika kifua chake...
Si kwamba hawezi kulia kwa sauti kubwa na kwikwi..
Yeye ndie amebeba tumaini la...
Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala...
Na Da Vinci XV
Nyakati fulani wakati nadurusu maandiko matakatifu nilipata kukutana na andiko moja lililandikwa na watu miongoni mwa watu mashuhuri sana walioishi nyakati zile kabla ya Masiku...
Kuna jamaa kasema tatizo Gen Z hawako serious, unakuta mtu anamuita Boss - Bro😂😂
=====
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Intelligent, 1 kati ya mabosi 6 wana wasiwasi kuhusu...
Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu.
Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha...
Ni dunia isiyo na huruma kwa maskini. Mfumo umejaa watu wanaosema "tunatafuta wenye uzoefu," lakini hawampi yeyote nafasi ya kupata huo uzoefu. Mfumo unawafungia nje, halafu unawalaumu kwa kuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo la Uzi huu kujikumbusha misemo maarufu iliyotolewa na wahusika wakuu kwenye filamu mbalimbali tuliwahi kuziona
Binafsi ni mpenzi wa filamu za holiwudi naanza na...
Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo.
Hali hii inafanya mwendokasi itembee...
Wakati mtu anatoa mbegu bila sababu matone hayo ya mbegu hutoka na kupaa hewani.
Matone hayo hayaingii kikoa takatifu, na hazipati mahali pazuri.
Badala yake, zinatangatanga bila kusudi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.