Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Naingia kwenye mada moja kwa moja. Juzi niliongea na daktari bingwa anayemiliki hospitali kubwa jijini kuhusu chanzo cha uraibu unaosababishwa na kinywaji cha energy. Daktari huyu alinihakikishia...
12 Reactions
115 Replies
6K Views
Habari! Nilipomaliza chuo nilipatwa na mkasa. Ile nimemaliza tu mitihani nikamtaarifu mama, tukaongea tu vizuri kwa muda mfupi chumbani kwake, sasa wakati natoka nje akaniuliza swali 'kwahiyo...
91 Reactions
1K Replies
18K Views
Kitaalam Mo extra ni energy drink au siyo? Na kama siyo kwanini watu wanaihisi kama ni Energy Drink? Tunaomba msaada wa kikemia. Nimecopy Moja ya Comments Huko Chini kutoka kwa America...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Serikali mko wapi? TBS na TFDA mko wapi? Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana, kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
- KAHAWA au ENERGY DRINKS (za viwandani) ipi bora?. * KAHAWA: kinywaji cha asili chenye sifa ya kuongeza nguvu ya ziada kinachotokana na mimea. * ENERGY DRINKS: Vinywaji hivi vya kuongeza nguvu...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
  • Redirect
Polisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka...
3 Reactions
Replies
Views
Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati...
23 Reactions
105 Replies
8K Views
Asalaam Aleikum, Ukweli ni kwamba wengi wetu siku hizi tulitokea kuvipenda sana vinywaji hivi vya energy drinks. Viko vingi na kila mtu ana brand yake anayeipenda, mimi binafsi Azam Energy...
3 Reactions
6 Replies
905 Views
Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
9 Reactions
114 Replies
5K Views
Kama mada inavyonieleza Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha...
3 Reactions
15 Replies
552 Views
Garge nzuriii ya ku upgrade garii kwa upande wa body arushaa kwa anayefahamuu tafadhaliiii anisaidiee kuniambiaa iko sehemu gani..!!.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi...
2 Reactions
6 Replies
202 Views
Waamuzi 15:4 Samsoni akaenda akakamata mbweha mia tatu; kisha akatwaa vienge vya moto akawafunga mbweha mkia kwa mkia, akatia kienge kati ya kila mikia miwili. 5 Alipokwisha kuviwasha moto vile...
10 Reactions
33 Replies
651 Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano. Kuna malalamiko yameripotiwa kwa siku za karibuni kuhusu hospitali ya LUPA iliyopo ndani ya halmashauri ya mji wa Bunda. Malalamiko ni mengi ila...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Je, unajua kuwa watoto hawazaliwi na hofu ya nyoka au buibui? Wanafalsafa wa saikolojia wanasema kwamba binadamu huzaliwa na hofu mbili pekee: urefu (kuanguka) na kelele kubwa. Hofu nyingine...
2 Reactions
16 Replies
314 Views
Tanzania hii kila uchwao ma pastor wanaibuka na kuwa wengi zaidi, wengi wakihubiri habari za Mwenyezi Mungu. Wametokea kuwashawishi watu wengi kuwafuata ama kuwa nao katika makanisa yao. Asilimia...
5 Reactions
10 Replies
264 Views
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji...
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote...
19 Reactions
277 Replies
7K Views
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema. Njaa haina...
4 Reactions
24 Replies
747 Views
  • Redirect
Hismastersvoice ni kiunganishi tu na amesisitiza mhusika asipewe hela bali apelekwe kwenye hospitali atakayochagua mtoa msaada ili atolewe chuma(antena). Kumuhusisha Hismastersvoice na kiashiria...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom