Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Naomba nieleze kwa ufupi. Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara...
2 Reactions
12 Replies
470 Views
Habari wadau! Moja kwa moja kwenye mada. Ile mikokoneni imeishia wapi? Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni...
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Wakuu, Wizara ya Maji nawasalimu. Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na...
2 Reactions
17 Replies
274 Views
Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni...
3 Reactions
17 Replies
407 Views
Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
5 Reactions
19 Replies
232 Views
  • Redirect
Mwenye conexen ya tipwa tipwa hili anishtue
7 Reactions
Replies
Views
Wana silika za takafuri? Silika za utafiti? Silika za kushangaa?
4 Reactions
65 Replies
1K Views
Zama zile za kati, mahitaji ya mwanadamu ya msingi yalikuwa matatu tu. Lakini sasa mambo yamebadilika kabisa. Leo tunahitaji internet kama hutaji muhimu la mawasiliano, bila internet mawasiliano...
2 Reactions
10 Replies
205 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amekemea Matendo ya Mauaji, imani za kishirikina pamoja na Ubakaji na Ulawiti. RC Chongolo ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo...
0 Reactions
3 Replies
308 Views
Mo salah kama upo humu nakushawishi endelea kupost kila mwaka mtu wangu.😂 Dunia ina maigizo mengi na umekataa kuwa katika moja wapo. Yote haya mafanikio amepata kutokana na kutobaguliwa kutokana...
4 Reactions
2 Replies
152 Views
.
7 Reactions
17 Replies
421 Views
Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Habari wana JF, Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Rasmi dirisha la usajili wa vikundi pamoja na maombi ya mkopo ya halmashauri ile ya 10% (vijana, wanawake na walemavu) vilifunguliwa mwezi wa 10, 2024. Awali iliionekana kuwa tutahudumiwa vizuri...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
Nipo Mpanda mjini, Kata ya Shanwe, mtaa wa Kilimahewa. Kuna eneo kama kaya 40 au 50 zilirukwa na Umeme muda mrefu, na hili suala ni muda wananchi wamejaribu kulifuatilia, hadi engineer...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Siku tatu hizi hajarudi anapoishi, wamemtafuta simu hapatikani, kazini kwake nao hawampati mwisho akakutwa mortuary hafai Aliopolewa akiwa tayari kaenda. Unajua nilivyopata taarifa ya ile ajali...
38 Reactions
101 Replies
3K Views
Pale nyuma ya ofisi za Halmashauri ya Ubungo kuna Eneo la wazi la Sqm 10,400 zimepigwa na Afisa Ardhi wa Manispaa anaitwa Fadhili akishirikiana na Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar Ndugu Kyando. Pia...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Back
Top Bottom