Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (kwa Vice, Mnadani). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo...
5 Reactions
17 Replies
394 Views
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu ============== Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo -...
9 Reactions
126 Replies
6K Views
RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi...
1 Reactions
8 Replies
586 Views
Habari za Asubuhi. Twende Moja Kwa Moja kwenye mada. Serikali kipindi Cha JPM na Kikwete waliwekeza sana kwenye kuboresha mifumo ya TEHAMA, foleni kwenye maofisi ya serikali, Hospitalini...
1 Reactions
6 Replies
200 Views
Dar es Salaam, Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimetoa msaada wa mashine za kusaidia upumuaji kwa watoto wachanga ambao hupata matatizo ya kupumua mara baada ya kuzaliwa. Msaada huo, uliotolewa...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila...
10 Reactions
14 Replies
787 Views
Thread closed
1 Reactions
10 Replies
501 Views
Mbunge Jumanne Kishimba, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Elimu ya Juu, ametoa maoni yake Bungeni kuhusu hali ya mikopo ya elimu nchini. Maoni hayo yalikuja baada ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa...
1 Reactions
14 Replies
880 Views
Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo...
12 Reactions
46 Replies
881 Views
Lori lililoparamia Watu usiku wa kuamkia leo February 14,2025 Kimara Stop Over Jijini Dar es salaaam na kusababisha vifo vya Watu watatu, limeondolewa eneo la tukio huku Madereva bodaboda wa eneo...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa. Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani...
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa...
5 Reactions
13 Replies
401 Views
Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu. Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa. Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni...
21 Reactions
84 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Hello Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu. Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa...
22 Reactions
94 Replies
15K Views
Ukiachana na sababu kuwa ni lugha ya peponi. Kuna sababu zingine lukuki za kujifunza lugha hii tukufu, kama zifuatazo. أولًا وقبل كل شيء، تعتبر اللغة العربية لغة قرآنية، وهو الكتاب المقدس في...
18 Reactions
98 Replies
4K Views
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip Soma pia: - Mama Mzazi wa Erick...
14 Reactions
377 Replies
38K Views
Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji Laki moja kijijini ni...
15 Reactions
62 Replies
1K Views
Back
Top Bottom