Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani...
Aisee nilipata dharula nikakopa kwenye moja ya hizi app siku ya marejesho, sikuwa na kiasi husika. Walichokifanya wamegawa namba zangu kwa watu hata siwafahamu kwa siku, napigiwa simu hata Mia na...
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu.
Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo...
Wote tunafahamu kwenye agano la kale dhambi ya uzinzi ilihesabika mpaka pale mtu alipozini lakini Yesu alijua kuiongeza makali ile sheria kwamba hata kwa kumuangalia mwanamke kwa kumtamani basi...
Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha.
Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua...
Wakuu,
Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali.
Yaani watu...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana...
Kaka, kuna kitu umeniandikia leo kimenigusa sana, hiyo ishu ya kuwa karibu na marafiki kwamba rafiki yako ndiyo kila kitu, mimi imenikuta na naumia mpaka sasa sijui kwanini siku zote sikushtuka...
KItuo cha polisi Chanika, kimekuwa kikipelekewa malalamiko kila kukicha na viongozi wa Mtaa wa Mvuleni Msongola, Maeneo ya Kitonga
Wananchi wanashindwa kuendelea na shughuli zao. Wanavamiwa na...
Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua...
Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia...
Mimi binafsi naomba kutangaza kuchoshwa na hivi vipasa sauti vya misikiti na makanisa..
Kinachonishangaza na waslamu sijui mmeanza kuwa km walokole miskiti ipo kila baada ya nyumba sita jion...
https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.”
— David Icke
2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili...
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"
Kwa sasa ukikosea...
Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.