Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Salaam.
Tukubaliane kuwa adamu na hawa/eva walikuwapo kuishi katikati ya bustani eden(nature) waliishi kwa muda mrefu na hatimae shetani alipewa mamlaka ya kuwajaribu na amefanikiwa.
Nadharia ya...
Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina...
Mamlaka ziangalie usafiri wa mabasi ya Jiji la Arusha kwenda Mbeya kwani mabasi yale ni machakavu hayafai kusafirisha abiria sehemu yoyote ndani ya nchi hii ukizingatia yanatoka Arusha Jiji kwenda...
Stori kama hizi zimeshasahaulika na wamehakikisha kutozienzi.
Leo baadhi yao wanafundishwa kumchukia mkristo kusahau kuwa kuna historia inawaponza.
NITAPELI MALI ZANGU ILA HAUWEZI NITAPELI KIITIKADI
Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine.
Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa...
Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake
Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara...
Good Sunday Ladies And Gentlemen...
Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo...
..Ni Siku Ya...
👇🏻
1.> Jikubali kuwa unaweza, na unaweza kuwa yeyote muda na wakati wowote.
2.> Epuka kuishi maisha ya kuigiza, ishi maisha yako halisi.
3.>Usiishi Maisha ya kushindana, yatakupelekea kuwa...
Kumekucha.
Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima .
msaada walau...
Leo katika Harakati zangu za Maisha Niko kwenye kiduka changu uchwala wamekuja wateja ktk maongezi yao wakataja neno Lonja nikajiuliza hili neno ni la kilugha au kiswahili na lina maana Gani.
Tunahitajika kujiondoa katika dhoruba za maisha ambazo zipo ndani ya uwezo wetu,na kimsingi kinacho tutese kwa sehemu kubwa ni kilichopo ndani ya uwezo wetu, hatuhitaji kujifunza,tunavua vazi la...
Huwezi kukataa kuwa jamii yetu inazidi kushikwa mateka na utamaduni wa kuabudu watu mashuhuri. Ndoa ya Aziz K na Hamisa Mobetto imethibitisha tena jinsi watu maarufu wanavyoweza kuteka fikra za...
Hizi "Parking Fee" zimekuwa na Upigaji ambao haueleweki.
Nimejaribu tu kuingia katika TeRMIS (termis.tamisemi) nikaweka namba yangu ya gari ambayo nimeagiza na imesajiliwa Tarehe 6 mwezi wa 2...
Mzungumzaji
Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani...
Maisha ya mwanadamu ni mpangilio wa hatua mbalimbali ambazo mtu huzipitia katika vipindi mbalimbali. Mtu anazaliwa, anaanza kukaa, halafu anatembea, anakua na kufikia kipindi cha kuanza shule...
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na...
Wakuu,
Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile.
Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.