Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni...
Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya.
Kilimo cha madawa...
Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa.
Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri...
Katika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar.
Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na...
Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku...
Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana.
Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani...
Barabara ya Nyerere road, reli ya kuelekea Buguruni, kituo cha Treni llala kuelekea Gongolamboto, kuna vikundi mbalimbali vya wezi hasa wa miundombinu ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO na...
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia
Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,
Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya...
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama...
Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote.
Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu...
Samaleykum,
Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula...
Utabiri wa Matukio Kabla Hayajatokea (Premonition)
Katika historia ya mwanadamu, kumekuwa na visa vingi vya watu waliodai kuwa na hisia au ndoto zilizotabiri matukio makubwa kabla hayajatokea...
Boa tarde camaradas.
Tembea uyaone, zunguka ujifunze.
Hivyo ndivyo ninavyoanza kwa leo.
Mara nyingi nimekua msomaji tu humu ndani, ila leo kuna topic nimeisoma humu ndani iliyo nishawishi na...
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.
Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.
Na tarehe...
Dini yangu mimi Ni Muislam,ila wazazi wangu Baba ni Muislam na mama ni Mkristo , walifahamiana mwaka 1989 kipindi wanafanya kazi serikalini wakapendana na 1992 wakaoana kwa ndoa ya kiserikali na...
Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya...
Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa.
Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta...
Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya.
Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.