Wasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi...
Tuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao...
Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali...
Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah!
Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea.
Ili...
Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi...
Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.
Hawa watu ni waaminifu sana mbele za...
Nawa kumbusha kwa jina la Yesu Kristo kila asubuhi uamkapo omba hata dk 1, 2 au tatu ili bwana abariki kazi za mikono yako.
Hata kama hujaokoka omba maana hata mvua yesu huwanyeshea wema na...
Omba Omba kila sehemu wana tabia zao na maeneo yao ya kufanyia kazi yao ya kuomba misaada ila wa Bukoba mjini hiyo tabia hasa wakina mama wazee kukaa nje ya vyumba vya ATM sio poa sasa kama...
Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza
Mwanadamu ni kiumbe mwenye siri nyingi na ambaye pia ameumbwa na siri nyingi
Unyayo wa mwanadamu ni waya wa...
P.O.Box .....
Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama...
Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856...
Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule
Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani...
Ni kitu cha kipumbavu Sana na cha kijinga na Roho mbaya Kwa baadhi ya watu kukejeli wanawake wenye watoto kuolewa.
Hiki kimejitokeza Sana wiki hii kufuatia Hamisa Mobeto kutolewa mahali na Aziz...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt...
Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm.
Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno.
Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk.
Kizazi...
Mtungi mdogo wa Gesi wa Kilo Sita Net bei yake ni elfu 45 mpaka elfu 55
Nimecheki hii Induction Cooker direct from Factory huko China
Hata tukichukilia kwamba dollar moja ni elfu 2600 hii cooker...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.