Naomba Serikali iangalie kuna changamoto katika kivuko cha Busisi - Kigongo ambapo kuna vivuko vitatu yaani MV Mwanza, MV Misungwi na MV Sengerema lakini kwa sasa kivuko kinachofanya kazi ni...
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja...
Mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah ametoweka kwa zaidi wiki mbili sasa gari lake aina ya Nissan Patrol kukutwa likiwa limechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara...
Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana...
Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema...
1. Unapohama nyumba moja kwenda nyumba nyingine usihame na fagio la zamani ulishawahi kutumia, utaingia nuksi ulizotoka nazo kwenye nyumba uliyohama
2. Jirani katika eneo la biashara...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa...
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kelele zote na...
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti...
Wakuu
Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
Soma, Pia: Vivuko...
The Arse’s Bold Bid for Leadership: A Tale of Guts and Glory
In the bustling metropolis of Human Body, where organs worked tirelessly to keep the system running, a new contender emerged for the...
TUKIONA WAGONJWA NA MAITI KWENYE MAJENEZA PIA TUSEME 'ONE DAY YES.'
Tukiona magari mazuri na majumba ya kifahari ya watu tunasema "ONE DAY YES." Tena tukiamini kwamba ipo siku nasi tutafanikiwa...
Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa...
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito
ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda...
NMB Njombe madiridha yako mawili tu ya kuchukulia pesa na ndiyo yanahudumia mji mzima wa Njombe, yaani unafika saa tatu asubuhi ujue kuondoka saa sita hiyo ndo upate huduma.
Unaweza Kuta katika...
(Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha...
RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO – MAJALIWA
▪️ Waziri Mkuu asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati.
▪️ Aeleza kuwa Rais Dkt. Samia ni kiongozi...
Wakati mwingine, unapokuwa unajiandikisha au kuwasilisha taarifa zako sehemu fulani, ni muhimu kuuliza jinsi taarifa zako zitakavyotumika. Hii ni ili kuhakikisha kuwa unaelewa madhumuni ya kutumia...
MUNGU YUKO WAPI?
Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia:
1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu...
Mungu ni mwema.
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?
Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.