Ukiwa kwenye chombo cha usafiri hasa haic za mijini na bajaji kwenye matuta wanakuwa wavivu kupunguza mwendo na kupanguwa gia.wanapita kama wamebeba roba za mahindi huo si udereva muone aibu tena...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni...
Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi.
Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu...
Ndugu zangu
Ni dhahiri kwamba ongezeko la wanawake wanaolea watoto peke yao limekuwa changamoto kubwa katika jamii nyingi za Kiafrika. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na...
Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k.
Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara
Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na...
Katika jamii yetu ya Kitanzania, suala la mahusiano linabeba uzito mkubwa, hasa linapohusiana na wanawake wanaolea watoto peke yao – single mothers. Ingawa mara nyingi mjadala huu huangaliwa kwa...
1: Kwa maana hana uganga wowote ni utapeli tu.
2: Kwa maana maagano yake hayamruhusu kujiganga
3: Anaogopa matokeo ya uganga huo kama akijisaidia binafsi
Nimekuja kwenu kama kuna mtu anajua vitabu vizuri vya hisa, hati fungani na zile indices za agriculture ili nianze kujifunza vizuri. Nawasilisha kwenu na naomba unipe hivyo vtabu
Mambo vipi wakuu, kwema? Kuna mchongo wa kuzamia Hispania au Italy kusaka maisha (kwa wale wanaopenda kwenda abroad either kusoma, kutafuta kazi.) Hasa Spain ndo uhakika zaidi ila changamoto...
Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka...
Wakuu.
Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa...
Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa.
Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse.
Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula...
Napenda dini ya waislamu hawana mzaha au utani na Imani ya dini ya kiislamu.
Leo tarehe 17/2/2025 Mtu wakwanza kutaangaza kua gay Imamu Muhsin Hendrick mwenye umri wa miaka 57 kauliwa kwa...
Usaili wa walimu unaoendelea Tanzania ni kizungumkuti kwa sababu ya hoja mbalimbali kama zifuatazo;
1. Usaili sio wa haki na usawa kwa sabab unajumuisha wasailiwa wa miaka yote tokea 2015.
2...
Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana .
Mtoto unampeleka polini analala nje .
Mvua na jua yote yake
Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi.
Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda...
Wasalam Mheshimiwa Mbuge wetu.
Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza bila kinyongo Wala kijicho Cha aina yoyote.
Mheshimiwa Mbuge Ndg Hussein Ammar kassu Kwa miaka karibia 20 sasa tulikupa...
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka Wahandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kusimama miradi yote kwa ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zinazotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.