AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA
Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na...
Tu share madini kidogo wadau:
Nidhamu kali ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku, hasa kwa watu wanaotaka kufikia malengo yao kwa mafanikio. Ikiwa unataka kuwa na nidhamu kali kama wanajeshi...
GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo
Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu.
Siku...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), katika kusimiamia utekelezaji wa ujenzi wa...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji...
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The...
Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya...
Mkoa wa Morogoro umezindua kampeni ya Jisomeshe na Mkarafuu, kampeni ambayo inawahusu wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Kampeni hiyo imezinduliwa katika kata ya Mkuyuni, Morogoro...
Huu ni msemo maarufu pale wapendwa wetu hasa ktk wanasiasa wanapotangulia mbele ya haki.
Marafiki huja na neno la faraja la "Mwendo Umeumaliza, Iman Imeilinda"
Kauli hii Kwangu inamaanisha kuwa...
Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu.
So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza...
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye...
DODOMA:
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya...
NJOMBE: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha majadiliano na Mwekezaji wa Mradi wa Makaa ya Mawe Ketawaka Kampuni ya MM Steel...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa...
Shule moja inaitwa Center for Education Plus Darasa la 4 miaka 9 wanakalishwa shuleni mpaka saa 11 Jumatatu mpaka Jumamosi wanafika nyumbani saa 1 usiku.
Huyu mtoto anasoma nini?. Ubongo wake...
"Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~...
Hivi mbona swali hili sijawahi kupata majibu yaliyonyooka?
Ni kwa nini watu hawa wanatukana sana katika baadhi ya mazingira yao ya kazi?
TANESCO (WAKIWA SITE)
WANAJESHI (KWENYE OPERATION NA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.