Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.
Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na...
Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku...
Wakuu salamu
Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
Huwa najiuliza sana taasisi kama Forbes inatumia vigezo gani kumjua tajiri namba moja katika nchi husika. Wanashindwa hata kutembelea wafanyakazi wa kampuni za tajiri husika kuangalia hali zao nao...
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika...
Kutokana na ukosefu wa ajira vijana wengi wamejiingiza kwenye biashara ya utapeli wa kimapenzi.
Ni vijana wa kiume kabisa wanatengeneza account Facebook, Instagram na Whatsapp wakijifanya...
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni...
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa...
Kwenu wauzaji wa kuku hasa maeneo ya mbezi beach.
Kuna jirani anasambaza upendo kuku wakubwa wana barafu Tsh. 5000
Binafsi naogopaga sana hizi zenye barafu swali langu kwenu kuku wapendwa bei...
Katika tukio la kihistoria, wazee wa Kata ya Ivany, Jimbo la Siha, walikusanyika katika shule ya Oshara kwa lengo la kumuombea Mbunge wao, Dr. Mollel. Kikao hicho kilijawa na shukrani na maombi...
Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa...
Amani iwe nanyi wapendwa
Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa.
=====
Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model School waliokuwa wametekwa na watu...
Mzuka!
Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali...
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha...
Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika.
Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama.
Tunaomba...
Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya...
Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.