Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
557 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo...
19 Reactions
424 Replies
37K Views
Nchi yangu Tanzania imejaa fursa nyingi ambazo bado hazijachunguzwa kikamilifu. Kutokana na rasilimali tulizonazo, kuna maeneo mengi ambapo fursa zinaweza kupatikana, kutoka kwa kilimo, nishati...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Hii nyama huwa ina mafuta sana. Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
9 Reactions
33 Replies
517 Views
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka...
4 Reactions
22 Replies
423 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza...
5 Reactions
78 Replies
2K Views
HABARI WANA NDUGU NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO TANGAZO LIKO HIVI ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU...
0 Reactions
2 Replies
153 Views
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
Daah, shikamo Umaskini. Nchi yangu pia imo. Rwanda na Kwnye wamepiga burn ya kupokea takataka kutoka Ulaya, US na Asia. Daah, Afrika jamani.
1 Reactions
9 Replies
236 Views
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Nianze kwa ku declare interest. Am neither a Christian nor a Muslim. Mimi sio Mkristu wala si muislamu. Ingawa nimezaliwa...
20 Reactions
103 Replies
4K Views
Peace be upon you Wana JF Hakuna kitu kizuri kama kushukuru, kusifu na kukubali karama waliyonayo wenzako. Naongea hili Kwa maana ni tatizo kubwa hapa kwetu nikimaanisha kwenye tasnia mbalimbali...
19 Reactions
88 Replies
4K Views
Market Economy/Free market economy Globalization Individualism Tunakosea wapi?
1 Reactions
11 Replies
118 Views
Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni. Anayemjua aje amchukue
14 Reactions
103 Replies
5K Views
Jua kali & joto kali huleta stress. Na hii ni kwa sababu, wanasayansi wanasema : 👇👇👇👇👇👇 Excessive heat from the sun alters serotonin levels in the brain , which is a neurotransmitter linked to...
3 Reactions
10 Replies
259 Views
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi...
13 Reactions
99 Replies
3K Views
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta...
11 Reactions
82 Replies
9K Views
HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon...
2 Reactions
12 Replies
416 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani. Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote...
26 Reactions
138 Replies
7K Views
Back
Top Bottom