Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa...
Habari wakuu!
Mtaani kuna story nyingi kuhusu kampuni ya coca cola kuna wengine wanasema imeanzishwa sijui na watu wawili wanaoitwa Coca na Cola ila hizo sio story za kweli. Kutokana na uchunguzi...
Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza...
Asikwambie mtu, kipindi cha nyuma alionekana si lolote mbele ya jamii kwa sababu hakuwa na chochote
Akiwa anatembea kwenye minada ya masoko mbalimbali vijijini kuuza viatu vya aina ya yebo yebo...
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1
Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko...
Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu.
Wakati mradi wa kujenga Bwawa la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata...
Wakuu,
Mtanzania Asha Makame Ally, aliyeelekea nchini Oman kupambania ndoto zake, amepatikana akiwa amefariki dunia nchini humo, ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku mwili wake ukigundulika...
Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa...
Wakuu.
Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi.
Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na...
Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana...
Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti...
Wadau tupeane mbinu za kuishi wiki nzima bila umeme
Maana kwa maelezo ya Tanesco from tarehe 22 mpaka 28 dar na zanzibar tutakuwa gizani.
Kupisha substation ya Dar kufungwa transfoma na...
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi...
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio...
𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘄𝗮𝘀𝗮𝗱𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮
Hakika Tanzania tunaendelea kuwa imara kwenye sekta ya Teknolojia Kila siku zinavyozidi kwenda vijana wengi wanaibuka na kuonyesha...
Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya...
Habari wakuu.
Siku za karibuni pamekuwa na utapeli wa aina nyingi na aina mbalimbali unaohusiana na fedha. Kama bahati nasibu, kamari, network marketing, pyramid scheme, ponzi schemes, "online...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.