Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na...
https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Temeke wamepongeza na kuridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo...
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala)...
https://www.youtube.com/watch?v=dt5CakYo9AA
Leo kutakuwa na mashindano makubwa ya kuhifadhi Quran kwa wanawake katika uwanja wa Mkapa.
Mgeni rasmi atakuwa ni Rasi wa Tanzania - Dr Samia
Mashindano...
Hapooooo....
Nadhani tuko fresh bhandugu. Leo nimewiwa kuwapa stori hii ambayo hadi kesho sitokaa nisahau kisa hiki cha aina yake.
Kuna siku nilikuwa kwa mganga wa jadi katika harakat za kuiseti...
Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja...
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.
Wizara ya Maji chini ya AWESO em...
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa...
Unakutana na mtu anaanza kumsema mwenzake huyo alikuwa mzinifu, Mara alikuwa na wanawake wengi maskini wakati mtu hajui hata K" inavyofanana.
Kuna wengine tuliupata kwa kushare vitu vyenye ncha...
Good day, Good people!
Hivi Karibuni kumezuka mfululizo wa nyuzi kibao hapa JF na zote zikipinga uwepo, uweza, na utendaji kazi wa Mungu. Kiukweli zimenifanya nikazama ndani kufikiri kwa kina...
Dar es Salaam, 19 Februari 2025 - Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza mpango wa maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupooza, na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 220 kilichopo...
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati.
Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro...
Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu.
Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo.
Waziri wa Kilimo ndg Bashe...
Tunahitaji kusema na tunahitajika kusema maneno machache na yenye maana, kwasababu ukimya una nguvu katika maneno yenye maana, Robert Greene anasema hivi kikamilifu “ watu wenye nguvu huvutia na...
Katika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?
Je, tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.