Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

A. Mambo mawili ya kupima mara kwa mara: (1) Msukumo wa damu(presha) (2) Sukari kwenye damu B. Mambo sita ya kupunguza kabisa kwenye chakula chako: (1) Chumvi (2) Sukari (3) Vyakula vya makopo...
9 Reactions
8 Replies
319 Views
Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
  • Redirect
HAYA SIMU ZIITE WALIONUNA MOYO UPATE MOTO WAWATAFUTE WENYEWE NA WAFANYE VILE WEWE UNATAKA CHEMSHA MAJI YACHEMKEE CHUKUA KARATASI ANDIKA JINA LA MTU UNAETAKA AKUTAFUTE MARA SABA KWENYE KARATASI...
0 Reactions
Replies
Views
“Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Brela BRELA Niwaite Hapa Tuongee: Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT...
1 Reactions
6 Replies
347 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Wadau habari zenu ! Msaada naweza pata wapi hili godoro la memory foam asanteni
1 Reactions
9 Replies
217 Views
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Serikali imeipatia hospital ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Muheza kiasi cha sh. 2,570,164,000 fedha kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba. Akikabidhi...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amezifariji familia mbili zilizopoteza watoto wanne, wakati wakiogelea kwenye bwawa lililokuwa likitumika katika ujenzi. Tukio hilo limetokea Februari 15...
1 Reactions
2 Replies
183 Views
Anonymous
BUHONGWA KAMA JANGWANI Wakazi wa Buhongwa jijini Mwanza hatuna maji ya uhakika. Kutoka vyanzo visivyo rasmi inasadikika wafanyakazi wa idara ya maji wana miradi yao ya kuuza maji ambapo hukata...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Anonymous
Nina fanya kazi kazi katika Mgodi wa Magesa Gold mine uliopo Nyamatagata wilaya ya Geita mkoani Geita. Changamoto iliyopo ni kwamba; tuna zaidi ya miezi mitatu (3) hatujapata mishahara, mgodi...
2 Reactions
6 Replies
485 Views
Tumebakia kuwa wapiga kelele. Tukiomba rehema za Mungu huku tunatamani maisha ya wale tunaona hawamfai Mungu. Maana, ilibidi imani zetu thabiti ndio zitukumboe na haya majanga yetu coz haina...
2 Reactions
11 Replies
236 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa...
2 Reactions
28 Replies
930 Views
𝗞𝘂𝘁𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗲𝘁𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗹𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘂𝗺𝗲𝗺𝗲 Tanzania tunaweza bhana ✅ Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawaga aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Back
Top Bottom