Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakili Paul Kisabo ameeleza kuwa amemuandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) kutaka majibu ya utekelezaji wa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu upelelezi wa walipo Deus Soka...
1 Reactions
6 Replies
175 Views
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini...
94 Reactions
345 Replies
15K Views
Habari wakuu, Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia. Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani. Wenye...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Siku zote nitasimama katika ukweli na katikati bila kuwa ' Mnafiki ' au Kumuonea fulani na hivyo ndivyo nitakavyokuwa siku zote. Kwa masikitiko makubwa kabisa nimekuwa nikifuatilia sehemu...
4 Reactions
59 Replies
11K Views
Ndugu zangu wana JF, naomba msaada jinsi ya ku highlight, kuweka rangi nk, humu JF. Ahsante.
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni...
0 Reactions
7 Replies
185 Views
Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine...
3 Reactions
63 Replies
1K Views
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake...
1 Reactions
8 Replies
316 Views
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Shahada wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kutoka kampasi zote wa Mwaka wa Masomo 2023/2024 tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa vyeti licha ya kufuzu...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumbe mende ana maziwa bora kuliko ya Ngombe mazuri kwa watoto Hivi unajua maziwa ya mende yana lishe bora mara 4 zaidi ya maziwa ya ngombe ni chakula kizuri kwa watoto. Watu wengi wanapomuona...
4 Reactions
14 Replies
271 Views
Picha: My Camera "Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni...
1 Reactions
7 Replies
228 Views
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism). Hapa...
0 Reactions
26 Replies
420 Views
Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
2 Reactions
17 Replies
525 Views
Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi...
4 Reactions
42 Replies
918 Views
Wakuu, Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira...
14 Reactions
230 Replies
5K Views
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana. Matukio makubwa kama mkutano wa...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa...
5 Reactions
9 Replies
322 Views
MAKALA HII imeandaliwa na CREEZLE FAREY WhatsApp ME +255789407381 KAHABA : Kahaba ni neno linalotumika kumaanisha mtu anayejiuza kwa ajili ya ngono. Katika muktadha wa jamii, kahaba mara nyingi...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao. Juzi kati niliona India...
5 Reactions
7 Replies
275 Views
Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo...
2 Reactions
12 Replies
373 Views
Back
Top Bottom