Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k.
Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake...
Kwema wakuu?
Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie.
Asanteni.
Katika bara la Afrika, nchi zimekuwa tegemezi kwa mazao machache ya chakula. Sasa hivi, spishi 20 za mimea zinatoa asilimia 90 ya chakula chetu, na tatu kati ya hizo – ngano, mahindi, na mpunga –...
Mchimbaji mdogo mdogo wa Madini ya Ruby yaliyopo katika kata ya Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha Sendeu Laizer ameibuka kuwa tajiri katika sekta hiyo baada kupata tani tano za madini hayo...
Maisha ni magumu sana kwa "Majobless Pro Max." Ukiwa mtaani, inabidi upambane kweli kweli ili uweze kupata chochote kitu cha kula.
Wakati mwingine, unaweza kula mara moja kwa siku au kama bahati...
Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nathubutu kuandika uzi huu kulingana na experience yangu na hizi shule, lakini pia kile ambacho mimi naona kingefaa.
Hapo zamani ilikuwa...
Majirani zetu sasa wameongeza route ya Nairobi - Gatwick, London, UK. Kama nyongeza kwa Ile ya route ya awali NBO-LHR.
Nairobi - Gatwick - J5, Ijumaa na j2
Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini...
Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini...
Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za...
Habari wakuu:
Nami naungana na watanzania wenzangu kulia pamoja kutokana na msiba mzito uliyotukuta,
Tuje kwenye mada inawezekana ulikuwa unaona mishumaa ikiwashwa bila kujua maana yake hebu leo...
Barabara nyingi za Dar alama za wavuka kwa miguu, alama za matuta na mistari ya kutenganisha barabara upande wa kushoto na kulia zimefutika ambapo ni hatari kwa madereva na raia hasa wakati wa...
#UPDATES Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.