Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi...
Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika...
Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna KABURI LA AJABU wacha nikufahamishe:-
Huenda ulishawahi kuliona lakini hujui chochote kuhusu kaburi hilo,
Jijini Dar es salaam katikati ya barabara...
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia...
Habari wapendwa,
Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha...
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake...
Anaandika Ali Kibao, mtoto wa kwanza wa mzee Ali Mohamed Kibao.
________
Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Ali-dedicate sehemu kubwa ya maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake. Hayo kwake...
Watoto wake Wapo wawili mmoja la 5 mwingine la 3. Wote wa kiume. Kaambiwa siku hizi watoto wa kiume Wana haribiwa shule za boarding hazifai bado wadogo hao hasikii. Watu wengine matatizo huwa wana...
Hi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki
Sasa hivi imekuwa too much...
Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje...
Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu.
Sisi wananchi wa...
Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na...
Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.
Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni...
Habari wakuu
Jambo lolote zuri hupambaniwa(earned)...kuna sadaka kulipata.Watu wanaoshindwa kutoa sadaka kupata jambo zuri,huwa na tabia ya kuwaaminisha kuwa jambo hilo ni gumu haliwezekani na...
Mwanasheria Fatma Karume ameelezea kwa kirefu kisa kimoja cha utapeli wa nyumbani ya mirathi na kesi iliyofuatia mahakamani iliyodumu kwa muda wa miaka 20!
Kwa mfumo huu wa mahakama kuendesha...
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule...
Nianze kwa kusema kuwa, Moja ya Entertainment/burudani wananchi wanayopata ni kufikia msimu wa Uchaguzi, ni msimu ambao tunasisimua mishipa ya raha hasa katika ufuatiliaji wa zoezi la uchaguzi ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.