Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya...
4 Reactions
13 Replies
352 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao...
77 Reactions
246 Replies
15K Views
Husika na kichwa cha habari , mbuga gani nzuri kwa kutalii Bongo Zingatia Accommodation Vyakula Idadi ya wanyama Urahisi wa kufika kwa barabara
1 Reactions
6 Replies
204 Views
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba. Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta. Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo "...
27 Reactions
97 Replies
3K Views
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali...
123 Reactions
202 Replies
10K Views
Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
24 Reactions
53 Replies
4K Views
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa...
8 Reactions
29 Replies
734 Views
Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa...
18 Reactions
120 Replies
5K Views
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba...
9 Reactions
98 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo...
15 Reactions
59 Replies
2K Views
  • Redirect
Pamoja na Misaada kukatwa. ARV zipo za kutosha, watu waendelee kula mbichi kila kitu kitakaa sawa. **Duniani huko wanapambania Artificial intelligence (AI) sisi huku tunatiana Moyo na ARV [za...
1 Reactions
Replies
Views
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
#TANZANIA:TUNDU LISSU:KWENYE NCHI HII HAKUNA HAKI MAHALI POPOTE “Nchi hii haina haki mamilioni ya wananchi hawatendewi haki, kwenye vituo vya polisi hakuna haki, kwenye mahakama zetu hakuna haki...
1 Reactions
0 Replies
84 Views
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu . Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema. Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani...
3 Reactions
4 Replies
134 Views
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la...
1 Reactions
9 Replies
333 Views
Back
Top Bottom