Hello!
Naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhusu kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa solution ni kuchoma, je unaichoma tu moto au kuna manuizi...
Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
Wasalaamu kwa wanaJF wote!
Nimepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa madaktari viongozi katika sekta afya jijini Dodoma ulioanza leo tarehe 20 mwezi agosti 2019.
Pamoja na ukweli kuwa...
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil.
God and devil are the same
Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki
Wanampa mtu utajiri na umasikini
Wanatoa...
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza...
Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa
lakini sasa...
Utangulizi
Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la...
Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya...
Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025...
Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi...
Niende kwenye mada moja kwa moja!!.
Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana
Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi...
SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI
12 Februari, 2025, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuujulisha Umma kuwa inarejesha safari za moja kwa moja...
Products keys za bure unaweka kwenye Windows 10 & 11
Je ulikua unasumbuka kupata product keys za windows 10 na windows 11 kwa ajili ya kompyuta yako. Leo nimekuletea products za bure kabisa...
Ilikuwa tar 28/11/2024 nilikuwa nimeamka vizuri kabisaa
Baada ya kunywa chai nikaelea kazini kwangu nikiwa njiani nikapokea simu kutoka kwa wateja wangu wa muda mrefu wa soya beans kutoka Dar...
Ni kama vile imekuwa ni vigumu kukabiliana na changamoto ambazo Wenzetu huko nje hawana shida nazo, na kwa kuwa wameshakuja na matumizi ya taa za kuongozea Magari wakaishia hapo nasi tumebaki hapo...
#bahariaNEWS- Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao...
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku...
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa...
Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.