Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro.
Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio...
Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na...
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎
Katika...
Hello!
Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo.
Kila kundi lina makundi mengine madogo...
Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata mfanyabiashara, Abdul Nsembo maarufu Abdukandida na mkewe, Shamim Mwasha kwa tuhuma ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo.
yaani kusuka nywele za mkono au mawigi
kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu
kuvaa mavazi...
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.
Pamoja...
Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika.
Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi...
Habari members of great thinkers,
Leo nikiwa katika matulizo yangu ya kujiandaa na mtihani,ndipo sauti inanijia kichwani ikinena kwanini sisi?
Unajua sisi vijana tulio wengi tunawaza kila siku...
Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji.
Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni...
Mpo salama Kabisa!
Ukiona watoto au kijana ambaye ni fuata mkumbo, fasheni, mfuasi na kawageuza Wasanii wa Muziki, Drama, na Filamu kuwa Role model ujue tayari mzazi au mlezi kuna mahali amefeli...
Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema...
Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.