Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya...
0 Reactions
5 Replies
334 Views
International Field Exploration and Development Conference (IFEDC) 24-26 September 2025 📅 24-26 September 2025 | 📍 Beijing, China (Online & Offline) Dear Colleagues, We are pleased to invite...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Habari? Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji. Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi...
1 Reactions
17 Replies
312 Views
Wanajukwaa wenzangu, Mnamo Novemba 3, 2024 iliwekwa tarifa hapa ikisema, SONGEA: WAZIRI WA KILIMO INGILIA KATI WAKULIMA TULIPWE PESA ZETU Kutokana na tarifa ile huyu ambaye kampuni yake inaitwa...
1 Reactions
3 Replies
141 Views
Wakuu, Imezuka na kukomaa tabia za washereheshaji kurekodi watu wanaofurahi kwenye sherehe walizokodiwa na kurusha kwenye page zao mitandaoni bila ruksa za wahusika. Maharusi wanaweza kutoa...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Marufuku imekuwa ikipigwa na madhehebu ya walokole , hasa kwa wanawake ambao wanapo okoka wanakuwa tayari wana watoto lakini hawana ndoa ama kwa kifupi wamezaa kabla ya ndoa. HOJA ZA WANAOPINGA...
4 Reactions
7 Replies
237 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea na kujionea eneo linalotarajiwa kujengwa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga) ambapo...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Najua sitakuwa mwenyewe kwenye hili, nina uhakika kwenye simu yako lazima utakuwa umeshawahi kutumiwa message na kampuni za betting, kampuni ambazo hata hujawahi kutumia huduma zao na baadhi ya...
3 Reactions
6 Replies
748 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata...
0 Reactions
6 Replies
392 Views
LIKUD amefungua watu wengi Sana kuhusu ubabaishaji wa shule za EMs zinazo tumia mtaala wa Necta. Pia soa > Mwanza: Watoto wawili wa Shule ya Blessing Model watekwa, wengine Wanne wanusurika...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora kwa mkoa wa Kigoma. Malalamiko hayo yamewasilishwa na...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine...
3 Reactions
6 Replies
165 Views
Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati. Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali...
5 Reactions
20 Replies
436 Views
Back
Top Bottom