Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa onyo kwa wahalifu baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwapata watoto wawili waliotekwa Februari pili 2025 jijini Mwanza na kupatikana...
MIF & CARE INTERNATIONAL TANZANIA WAZINDUA YOUNG WOMEN LEADERSHIP PROGRAM
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) kwa kushirikiana...
Wakuu,
Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi.
Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na...
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa...
BASHUNGWA APONGEZA POLISI KUPATIKANA WANAFUNZI WALIOTEKWA MWANZA.
“Wahalifu msijaribu uwezo wa Polisi, tutawafikia popote”
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza...
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii
Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal...
Habarini wanajukwaa!!
Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa.
Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua...
Hii kampuni ya habari ya IPP sasa hivi ni kama imejiishilia kabisa, huwezi kuamini kuna wakati iliwahi kuwa chombo serious cha habari katika nchi hii.
Hivi kweli hii ni habari ya kutangaza katika...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu...
hizi ni statistics kwa mujibu wa
The chanzo
Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana .
Mikoa inayongoza kwa talaka
1 -...
Wakuu hope mko poa kabisa.
Straight to the topic.
Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji.
Sasa leo nakuja na malalamiko...
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni...
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa.
Pia,
Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo.
Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili...
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya...
Amani iwe kwenu watanzania wote
Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.