Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing-Spandet ameitembelea JamiiForums (JF) na kufanya mazungumzo na Uongozi na Watendaji wake ikiwa ni pamoja na kujionea maendeleo ya Taasisi...
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01...
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo...
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu...
Katika maisha kuna aina nyingi za watu , leo nitakupa aina tatu za watu ambazo zinaweza kuwa msaada kwenye maisha yako kwa namna moja au nyingine.
1.Leaf People (Watu Majani).
Hii ni aina ya watu...
Wakuu,
Kuna mila na desturi za kiafrika ambazo zingeendelea kuwepo tungekuwa na idendity ya yetu kipekee sana katika bara letu na duniani kwa ujumla,
Tamaduni kama vile uvaaji wa nguo za heshima...
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya.
Shule hiyo ina Wanafunzi 549...
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili...
Mzee John Samwel Swai(61) mstaafu wa Jeshi la Polisi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia asiondolewe katika kambi anayoishi kwani bado hajalipwa fedha za mizigo pamoja na fedha za likizo...
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege...
NIRC YASHUSHA NEEMA PWANI
KUJENGA VISIMA VYA UMWAGILIAJI VITANO
NIRC Pwani
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa...
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani...
Polisi wao ni watekelezaji wa sheria, Bunge ni watungaji wa Sheria baada ya CPD kuzipitia.
Mapenedekezo yanatoka katika idara husika.
Sasa, Bodaboda zina plate number kwa nyuma tu ila mbele...
Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa...
Amani iwe kwenu wanajamii
Mama mjamzito usiku wa kwenda kuzaa akimuota Bikira Maria Anamzaa Yesu, kondo zimezagaa zagaaa. Hiyo ndoto inakuwa na maana gani?
Na alizaa wa kiume
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.