Kwa ufupi tu msonde tangu ufike Tamisemi umekuwa na Mambo mengi Sana ambayo mengine hayana ufanisi ebu yapunguze, kutokana na karenda kuanzia tarehe 31/03/2023 ni likizo Ila kutokana na maagizo...
Wakuu,
Hili jambo linawezekana kuonekana kawaida, lakini limenishangaza kidogo.
Leo nilikua napitia habari huko mitandaoni, nikapata wasaa wa kuongalia taarifa za baadhi ya jamaa tulio kuwa...
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu
Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na...
Katika tukio lililotikisa jamii ya Lindi, Jeshi la Polisi la Mkoa huo limemkamata kijana mwenye umri wa miaka 13, Amidu Mohamedi Halfani, mkazi wa Kijiji cha Chiuta. Anatuhumiwa kumuua bibi yake...
Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza...
Nyaraka za Siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy aliyeuawa kwa kupigwa risasi, shambulio la Osama bin Raden maarufu kama 9/11, Wapi hasa COVID-19 ilitoka zote kuweka wazi...
Salaam, shalom!
Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu...
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182...
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni...
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana...
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana...
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa...
https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA
JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka...
Siku ya Faragha ya Taarifa huadhimishwa Januari 28 kila mwaka ikiangazia kuongeza uelewa kuhusu masuala ya ulinzi wa taarifa binafsi na kuhimiza sera na kanuni bora za kulinda taarifa za watu...
Wasafiri wengi hutumia mitandao ya kijamii zaidi wanapokuwa safarini mbali na nyumbani. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa kudumisha faragha na usalama wa akaunti zako za mitandao ya kijamii...
JINSI YA KUJILINDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
1. Sio kila taarifa ni ya kushiriki katika Mitandao ya Kijamii, angalia umuhimu wa taarifa unayoishiriki. Internet haisahau
2. Kuwa makini na kuweka...
Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii...
Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao...
Wale watoto wametekwa na watekaji wameuawa.
Hili nadhani ndio Mdude Nyagali alikuwa ana comment, anasema wale watekaji wawili walikuwa na mapanga tu,Polisi imeshindwa vipi kuwakamata?
Halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.