Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy.
Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake...
Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika...
Yaani sio halmashauri ya Kilosa tu tunateseka kwakweli, na ilitakiwa tupewe pesa ya kujikimu ndio twende kazini huko na sio halmashauri moja ni zote tunateseka na hapa mishahara yote hatujapewa...
Habari Wana JF,mambo yanazidi kuwa magumu!Wanancnhi wa wilaya ya Uyui,wamelalamikia madada poa ambao hupitapita kutafuta wateja huku wakiwa wamevaa nguo zisizo na Heshima.
Pia wameonyesha wasiwasi...
Tuwachambue kwa hoja thabiti na uwezo wao.
Nani anafaa kukuongoza wewe kama mtanzania kwa miaka mitano ijayo?
Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan ameshapitishwa kama mgombea rasmi wa nafasi ya Uraisi...
Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024.
Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha.
Tumetumia gharama kubwa...
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama...
Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana ila Ujamaa ulikuwa na Faida zake
Mtu kama Lucas Mwashambwa angekuwa Dereva wa Trekta la Kijiji na kama angesogea hapa Mjini basi City Council wangemuajiri pale...
Mifumo hii ya cash less kwa maana ya kulipa bila kutoa hela ndio mradi wa dunia ya kisasa ila kwa hapa naona kama watu wanaikwepa chukulia tu lipa kwa namba
Wengi ukienda anakwambia sina namba...
Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa...
Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi...
LADIES:
1: Dada's Urembo na style
2: Toto's group ujauzito hadi malezi
3: Msusi online matunzo na style za nywele
4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri
5: alex udaku 24hrs
WANAUME SASA😂😂
1: Buza wa...
Jeshi la Polisi nchini linaendelea kuchukua tahadhari katika kuzuia uhalifu unaovuka mipaka ukiwemo uhalifu wa mitandao na ugaidi ambapo kupitia ushirikiano wa Tanzania na India wamekubaliana...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo.
Akizungumza na kikundi cha...
Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Kama wewe hauna imani na mwanakondoo wa Mungu basi tambua kuwa pepo haikuhusu
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Muwe na siku njema
Ufunuo wa Yohana 21:27 7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.