Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Salute.
Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world...
Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo...
Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha...
WanaJF salam!
Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa...
Picha na maelezo yote kwa hisani ya Facebook.
Ni mtiririko wa picha na matukio yasiyofundishwa wala kusemwa kwenye maisha yetu ya kawaida.. Yana ufunuo na maarifa mengi ndani yake...shukrani kwa...
Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa...
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.
Mambo...
Vifaranga vyangu vya kuku wa kienyeji, walipofikisha umri wa takribani wiki 2 hivi niliamua kuwapa chanjo hii.
Baada ya muda vifaranga viliendelea vzr lkn sasa vimepata madhara kwenye jicho...
1.0
In a quest to enhance and attract new natural experiences to city centers, the design, planning, and revitalization of certain urban spaces align with strategies aimed at improving the quality...
Inarudi tena
Mkono unateleza polepole
Wa muda na amri zake
Muda si muda unafika
Unakaa mahali pake
Kivuli chake usoni pangu
Kinatia shinikizo katika siku yangu
Maisha haya...
Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wamekuwa wakipiga kambi kwa imani ya kunyakuliwa...
Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni...
Mwili wa marehemu Naomi Orest Marijani aliyeuawa na mume wake kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na mume wake Hamis Luwongo Mei 15, 2019 Maeneo ya...
Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na...
Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana.
Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5...
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni...
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
Wachina wanafungua car wash
Wachina wanafungua supermarket
Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
Wachina wanafungua maduka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.