Kina nani hao? Amewaaibishaje? Ntakueleza, ngoja kidogo niwasaidie wale waliokimbia masomo ya sayansi, hasa hasa Fizikia. Ulimwengu wa kisayansi umejengwa juu ya sheria na kanuni zinazoelezea...
Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele...
Habari zenu wakuu,
Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye...
Salamu
Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba
Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea...
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.
Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝
Ukiingia...
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya...
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia...
Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Pia...
Wakuu,
Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.
Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Tumsifu YESU KRISTO. AMINA
Tumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo hasa kwa kumtuma mwanae aje atukomboe . AMINA
PASAKA ni nini pasaka...
Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani...
Kamati ya Siasa Wilaya ya Chamwino, Dodoma, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino, George Malima, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa...
Assalaam alaykum,
Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....
Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe...
Salaam,
Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu...
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024.
“Hiki ni kiasi...
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti...
Kauli ya waziri mkuu sio ya kubeza au kuikejeri huyu ni wa pili baada ya Raisi na ni kiongozi wa government bussiness kwenye bunge ndo anae jibu chochote kinacho husiana na serekali bungeni.
kila...
Uzalishaji wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani Mbinga ni chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali na maendeleo ya wananchi wa kata hiyo.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.