Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa...
24 Reactions
197 Replies
3K Views
Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata...
7 Reactions
40 Replies
456 Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
140 Reactions
7K Replies
908K Views
Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa...
4 Reactions
12 Replies
275 Views
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani...
1 Reactions
5 Replies
103 Views
MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa...
1 Reactions
15 Replies
750 Views
Utalipia Dola $220 kwa ajili ya Simu mpya Toka Tecno Camon 40 Pro Kwenye events ya MWC 2025 kampuni ya Tecno iliweza kuonyesha matoleo mbalimbali ya Simu zao mpya lakini kilichonivutia zaidi...
5 Reactions
12 Replies
272 Views
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja...
57 Reactions
593 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa...
3 Reactions
32 Replies
506 Views
Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida...
1 Reactions
15 Replies
214 Views
Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana...
0 Reactions
2 Replies
75 Views
Wafungwa nao ni binadamu kama sisi tuu. Wanaugua na wanaweza kupoteza maisha wakiwa kifungoni.. Je sheria inasemaje? Zamani tuliambiwa mfungwa aliye kifungoni akipata madhila ya kupoteza maisha...
11 Reactions
57 Replies
1K Views
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma. Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza...
3 Reactions
10 Replies
182 Views
Wakuu, Nahitaji namba ya NIDA tu maana nimejiandikisha miezi miwili imepita sasa, naweza kuipata kupitia Online service baada ya kuingiza taarifa zangu? Msaada tafadhali. NIDA Tanzania
5 Reactions
18 Replies
371 Views
Habari wadau, Najua huku kuna wataalamu wengi, naomben msaada kujua ni jinsi gani ya kupata nakala ID ya kitambulisho changu cha NIDA.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka...
19 Reactions
88 Replies
1K Views
SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona...
4 Reactions
40 Replies
776 Views
  • Redirect
Achilia mbali wenye matatizo ya kiafya, kwa ambao ni timamu wa kiafya bil kujali jinsia, nini hasa kinakufanya uwe na hofu ya kua na mtoto walau hata wabkuendeleza kizazi na uzao wako, hata sasa...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom