Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.
WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.
Kuna jamaangu mmoja leo...
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na...
Zoezi la ugawaji wa vizimba kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni umezua sintofahamu baada ya baadhi ya wafanyabiashara kudai kutoorodheshwa kwenye majina ya wanaostahili kupewa vizimba .
Soko...
Salam ndugu zangu wana jamvi
Naomba kuuliza swali jepesi, umewahi kutokewa au kusikia ndugu yako au Jamaa yako mtumishi WA Serikali anapata uhamishi kutoka sehemu moja ama nyingine lakini...
Hii wiki imekua Ni vilio kwa watu kila mahali,
Wengi wameondolewa tarrif zero, na Hakuna maelezo ya kueleweka.
Tumezoea ukizidisha matumizi ya unit 70 kwa mwezi, automatically system inakuondoa...
Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja...
Natokea Kanda ya ziwa
Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida
Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini...
Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona...
Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi.
Huyu...
Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa...
How to Become Wealthy in 5 Years
Become Financially Educated
Learn Money Management
Save Money to Invest
Invest in Passive Income Sources
Network with self-made Rich People
Have Mutual Sources of...
Kwa ile picha pale,kwamba stand imegharibu bilioni 4,inashangaza kidogo.
Bilioni 4 ni pesa nyingi sana.Haiwezekani stand ijengwe kwa kiwango kile kwa gharama kubwa namna hii.
Mheshimiwa Rais una...
RAFIKI NI ADUI ALIYE KARIBU
Na, Robert Heriel
Rafiki ni mtu ambaye unaukaribu naye wa kimahusiano, unayeshirikiana naye katika mambo mengi, unayemuamini, unayetunziana naye siri na kusaidiana...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge.
Msingi wa...
Wananchi wa kijiji cha Ibindi, Manispaa ya Mpanda, mkoani Katavi, wamependekeza adhabu ya viboko kwa wanawake wanaovaa nguo zinazodhaniwa kuwa hazina stara, wakiunga mkono juhudi za kudumisha...
Na hili jua huku unapigwa mgao wa maji wiki nzima , ukirudi japo uwashe feni unapigwa mgao wa umeme basi unakaa kama mbuzi mwenye kiu ukibweka huku ulimi nje ......mtatuua jamani ..... achilieni...
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri...
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.