Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na...
Utangulizi
Kwa miongo mingi, Tanzania imekuwa soko kubwa la nguo za mitumba, kiasi kwamba viwanda vya ndani vya nguo vimeshindwa kustawi. Ingawa biashara hii imewanufaisha baadhi ya wananchi kwa...
Wakati Dunia inaposonga kati ya Jua na Mwezi, basi Leo tutaweza kushuhudia Tukio la Kushangaza La Mwezi kubadilika na kuwa Rangi Nyekundu (kivuli kikubwa cha rangi Nyekundu).
Siku ya Leo Usiku...
Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa...
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja, mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake...
"Mke wangu, nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu, dada zangu na hata baba na mama). Tujumuike pamoja na...
Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili...
Imetokea Jana Kinondoni.
Picha linaanza wiki moja iliyo pita jamaa alienda kuweka simu zake mbili ( Smart phones) kwenye kibanda cha mchajisha simu, kisha akaenda zake pale Garden ( Mkwajuni)...
Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku.
Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye...
Kuna wadau waliomba kujua toafuti ya M-wekeza, ipi bora , n.k
Nitaeleza kwa ufupi kwa wale wanaohitaji kupata hivyo visenti basi wanufaike.
UMILIKI
UTT AIMS nishirika la umma
M-wekeza ni mradi wa...
Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona...
wilaya ya kahama kuwa na vyanzo vya mapato na madini lakini kama naona makao makuu ya mkoa yana lazimisha shinyanga kuwa yenye kila kitu kizuri kuanzia barabara za ndani mataa ya barabara wakati...
Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa!
Chama cha kisiasa kina sera na itikadi!
Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama...
Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya...
Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya haipo katika hali ya kuridhisha kutokana na baadhi ya majengo yake yanayotumiwa na Wanafunzi kuwa chakavu sana.
Nimepita katika shule...
Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.
Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.
Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Wakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.