Serikali ya CCM isipoamka kutoka usingizini moto unakuja, kadiri muda unavyozidi kwenda watu wajinga ambao ndio walikuwa ni mtaji wa ccm wanazidi kupungua. Ndani ya miaka kumi na Tano ijayo nchi...
Habari zenu wadau wa JamiiForums!
Leo nimekuja na mada 🔥 inayogusa maendeleo yetu kama Waafrika. Tumeona dunia ikibadilika kwa kasi kutokana na teknolojia, lakini swali ni moja: Kati yetu...
Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole...
Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Muungano wa Mapogo (mapogo coliation) ulikuwa kundi maarufu la simba dume sita wenye nguvu ambao walitawala eneo la Sabi Sands la Afrika Kusini katika Hifadhi ya Kitaifa ya Kruger kutoka 2006 hadi...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi...
Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya...
Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani!
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu...
Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi...
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwanin kama...
Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao.
Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe.
Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia...
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila...
Shekhe Ponda amesema kuwa suala la yeye kuitwa mtata halimshangazi kwakuwa anasimamia haki na lengo lake ni kutafuta haki na ndiyo maana hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya...
1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.
2. Inabid watu wapige mbichi ku-kutembelea rim.
3. Tafadhali...
Niliwahi kudhulumiwa huko nyuma na watu ambao niliwaamini sana, walinirudisha nyuma kwasababu nilikuwa nafanya kazi ngumu na malipo yalikuwa kidogo mno sana, nilijibanaaa sana sana, nikapata kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.