Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata...
Anasema wahitimu wenye degree waende VETA ?
Tatizo kubwa la vijana ni ajira hili lipo wazi.
Kwamba kwenda VETA ni muarobaini wa kukabiliana na tatizo la ajira?,halaah sijaelewa
Vijana wote...
Habari!
Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio).
Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na...
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
Shekhe Issa alipokuwa akihojiwa na Jambo Tv ameeleza kuwa mwaka 2013 risasi aliyopigwa ilipita nyuma ya beaga na kutokea mbele. Anaeleza hata askari wengine walioshuhudia tukio hilo walishangaa...
Utangulizi
Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni...
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri...
Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo.
Tunapata...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika...
Voda Voda Voda!!
Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?
Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.
Kila ikifika saa Moja jioni.
Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mifumo ya usimamizi wa elimu nchini...
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kufungua fursa za kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuondoa vikwazo kupitia mradi wa RISE sehemu ya uondoaji vikwazo katika...
Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.
Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo .
Nyie...
Zab 108:13 SUV
[13] Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
Mtu akikuangalia ulivyo, ulipozaliwa, kazi yako, biashara yako, elimu yako, maisha yako, anaweza...
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu...
Mtumishi wa Mungu Prophet Nicolaus Suguye Jumapili hii tarehe 16/3/2025 kwenye UZINDUZI WA WIKI YA OPERATION YA KUVUNJA, KUBOMOA NA KUHARIBU MALANGO YA KUZIMU NDANI YA FAMILIA ambapo Nabii Suguye...
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm...
Maisha huwa yako na utangulizi kama ambavyo ilivyo kwenye vitabu mbalimbali, na lengo la utangulizi wa kwenye maisha huwa unamlengo sawa sawa na ule ambao upo au unawekwa kwenye vitabu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.