Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (katikati) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya...
VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo...
Nimeangalia nikahuzuka sana kisha nikapatwa na huzuni, hofu, mashaka na woga kufika Mwaka 2100. Wakuu kwa matazamio yangu ya haraka haraka kila nikilala na nikiamka napata maono ya sauti ya ndani...
Habibu Mchange, Mkurugenzi Mtendaji wa magazeti Jamvi la Habari, Times Observer, Tanzania Bora na mengineyo amedaiwa kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kigamboni...
Mimi ni muislamu lakini nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu inapofika jioni mtu anakula kama mchwa, yaani kila kitu anataka akile, matokeo yake anashindwa hata kufanya ibada.hivi kweli kwa...
Imeandikwa na mdau toka Mbeya:-
Nilifungua Mini-Supermarket mahali ili kujikwamua kiuchumi.
Nikaona si mbaya kumshirikisha ndugu yangu wa kike wa damu wa kuzaliwa tumbo moja mafanikio yangu ili...
Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya...
Watanzania ni wamoja. Haijalishi tofauti ya mitazamo ya kisiasa au ya kidini. Linapokuja swala la usalama wa nchi lazima mshikamano na Umoja wetu uwe imara.
Siku kadhaa nyuma kuna mkuu mmoja wa...
Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji...
Habarini?
Nimekaa nikatafakari nikaona nivyema niende kusomea ufundi katika vyuo vya tena na kozi nayoipenda kwenda kusomea ni kozi ya umeme lakini nimekua na swali nijiulizalo pasipo kupata...
Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa mitano iliyopo Nyanda za Juu Kusini sanjali na Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe na Rukwa. Mbeya ilianzishwa mwaka 1961.
Mkoa wa Mbeya umejaaliwa kila kitu...
Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa...
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo...
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa...
Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye...
Habari Wadau,
Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia?
Je kutokujaza vacancy request...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.