Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia...
10 Reactions
69 Replies
1K Views
Ndugu zangu wananchi wa Mchinga, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa changamoto zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jimbo letu. Tunatambua kuwa mvua hizi zimeleta athari kwa...
0 Reactions
2 Replies
101 Views
KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
22 Reactions
129 Replies
2K Views
Swali na ufafanuzi kidogo. Utasikia mke wa rais kachangia hiki kachangia kile, katoa pesa taslim kiasi fulani. Swali langu, je na wake wa marais huwa wanapewa mshahara? Kama ndiyo kwa kazi gani...
7 Reactions
50 Replies
15K Views
Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: "Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati...
14 Reactions
71 Replies
2K Views
MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO: Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225) "THREAD" BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni...
2 Reactions
5 Replies
100 Views
Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu...
4 Reactions
37 Replies
718 Views
  • Redirect
Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu. kama inavyosemeka kwa thread. Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana...
0 Reactions
Replies
Views
NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!! By Æfrica Macka Bara ---------------------------------- Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako...
1 Reactions
2 Replies
64 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Tunaishi katika dunia iliyojaa hila na udanganyifu. Uaminifu umepotea, na sasa kitanda kinazaa haramu Mtoto ambae anaonesha tabia zisizoeleweka binafsi namuona haramu —si kila unayemlea ni wako...
2 Reactions
7 Replies
188 Views
Mahakama ya Wilaya Sengerema, mkoani Mwanza, imemuhukumu Lucas Maselele (56), mkazi wa kijiji cha Lugata kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mjukuu wake (13) (jina...
2 Reactions
16 Replies
236 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb.) amesema kuwa serikali tayari imeanza mchakato wa kutunga sera ya kampuni changa (startups) na imeanza kushirikisha wadau...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mhe. Hassan Mtenga, amemuagiza Mshauri Elekezi wa ujenzi na maboresho wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kumbukumbu ya Mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Niaje waungwana Mheshimiwa waziri Abdallah Ulega juzi kati alituacha na mshangao mkubwa watanzania, kwa kujifanya anawapiga mkwara mzito wachina wanaojenga barabara zetu za mabasi ya BRT. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Back
Top Bottom