Imepita zaidi ya miaka 6000 mpaka 6700 Baba WA wanadamu Nabii Adam na Mama wa Wanadamu Hawa kushushwa kwenye ulimwengu huu wa Dunia.
Hatimaye utafiti uliofanywa hivi majuzi wa kisayansi umetoa...
Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!!
Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa...
Watu wanavyosema ajira za serikali zina job security maana yake ni kwamba unaweza kupiga dili na ukajulikana lakini usichukuliwe hatua yoyote.
Hata warning letter hupewi.
Maana kuanzia...
Ushahidi katika kesi Namba Cc.5866 /2024 inayomkabili Baraka Benedicto (23) anayedaiwa kumlawiti mtoto wa Kiume umehitimishwa rasmi Machi 7, 2025 baada upande wa Mshtakiwa kukamilisha utetezi...
Kesi ni nyingi lakini zinazoripotiwa polisi ni chache na zinazoifikia mitandao ya kijamii ni chache zaidi kwakuwa kwa sehemu kubwa mambo haya hutokea ama hufanyika kwenye maeneo yao wenyewe...
Wadau hamjamboni nyote?
Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi
Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu"...
Tusaidiane kueleweshana ili kujua kama endapo tutawekeza kila mwez kwa miaka 10 na ukaamua kujitoa labda baada ya miaka mitano itawezekana?
Ikiwemo kupata salio na riba kwa muda wote huo...
Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa...
Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti
Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe...
Wakuu habari za Leo?
Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma.
Nimefanya nao...
Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili...
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa...
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------...
MHADHARA (104)✍️
1. Utaondoka nyumbani mweupe kwenda kutafuta, utarudi nyumbani ukiwa mweupe. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
2. Biashara utakayoianzisha itayumba, au kufa kabisa...
Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani
Maandiko Yanasemaje
1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika...
PICHA: Mnyama Nyegere
PICHA: Mtu aliyedhuriwa na mnyama Nyegere
PICHA: Nyegere akipambana na Simba
Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni...
Heshima zenu wakuu. Hongereni kwa kazi. Na mnaopumzika, hongereni kwa mapumziko.
Haya, twende kwenye mada.
Mambo mengi yanayotokea nyakati hizi duniani, yalitabiriwa na manabii wa Mungu miaka...
Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja.
Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini
Neno Yesu
YESU ni jina la kiuanadamu la Bwana, alilopewa na Mariamu na malaika Gabrieli (Luka 1:31). “Yesu” maana yake ni “Mungu anaokoa”. Hili ndilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.