Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba...
Mchungaji huyo alitabiroi kuwa Lowassa atafariki dunia na Uchumi wa Tanzania utakuwa na hali mbaya miaka ijayo, Gwajima amempelekea ujumbe akimtaka akae kimya upesi
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole...
Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania...
Kwema wakuu,
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Wakaniambia ni Subiri week 3
Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo...
Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha...
Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira.
Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao.
mgogoro huu unasababishwa na tajiri...
Naam madereva tuliishi kama ndugu, tulikuwa na umoja na Upendo wa kweli tuliishi kifamilia zaidi...Mkurugenzi/ mmiliki kila weekend kama tumerudi (Kwa sababu kampuni yetu tulikuwa tunapakia pamoja...
Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika...
Great thinkers.
África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo.
Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa...
Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo.
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12...
Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali.
Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya...
Hi,
I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind...
Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii...
Mambo vp wadau?
Kwanini "Telecom Companies" hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?
Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya...
Kuelekea Ujenzi wa barabara za kulipia Tanzania (toll road) David Kafulila, Mkurungezi Mtendaji PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa sio lazima mtu apite kwenye barabara ya kulipia kwani kila...
Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu.
Msiba uko nyumbani kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.